Tatizo la tumbo

Amedeus Somi

Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
65
Reaction score
22
Poleni na kazi wanajamvi mimi shida yangu ni kwamba naumwa sana tumbo kwnye kitovu linavuta kama manati jamani nisaidieni korodani moja imepanda toka muda sasa na sometime nyngne huwa inapandag na kushuka ila kikubwa tumbo linavuta ile mbaya na sinna ata hamu ya chakula nimetumia mizizi ya ndulele asali mbichi mdalasini inapoa kidogo but tatizo linajirudia jamani natoa hii thread naumwa sana wandugu nakufa mie uwiiiiiiiiiiiiii[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
Pengine ni kronik u.t.I kapime mkuu achana na dawa za asili kwanza
 
Una ngiri mkuu Na Hali ya hewa ndo sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…