Wataalamu wa afya wasaidie waandishi hawa na tatizo la kuanguka (kiharusi)
Alianza Bw Raymond Owaman wa Star TV na RFA ambaye hadi sasa amelazwa na jana alianguka Ben Rwegasira wa TBC,hadi sasa yupo hospitali ya mkoa kagera hajitambui
Usije anza hisi ni uchawi, Kiharusi kina weza sababishwa na kisukari,blood clot , pamoja na matatizo ya moyo, kifupi mahisiano ya matatizo mapigo ya moyo .