Tatizo la uhaba wa Dollar ni kubwa

Admin jamii forum tusaidie hii ifike juu tatizo ni kubwa basi embassy wakubali fedha ya Tanzania.
 
Dawa ya deni ni kulipa,
Lazima dollars zipotee
 
Yaani Namaanisha ukiwa na elimu ni kutatua matatizo sio tuu kumpa shida mwananchi, kumshauri vema Rais
Bank hazina dollar ??
Yaan mtuu mwenye fedha zake bank hiyo hiyo anataka dollar hapati

Umaskini gan huuu
 
Fedha zako unahangaika kweliiii ???
Yaan mgeni akija anabadili pesa yake bila tabuu wewe na Tsh yako ni tabuuuuu
 
BOT wanakopesha bank nyingine basi wawape dollar
 
Mnauza bidhaa gani nje zinazo vutia ununuzi kwa dollar? Anyway usilete zile kanuni za kichumi kwa sababu zimesha feli
 
Yaani Namaanisha ukiwa na elimu ni kutatua matatizo sio tuu kumpa shida mwananchi, kumshauri vema Rais
Bank hazina dollar ??
Yaan mtuu mwenye fedha zake bank hiyo hiyo anataka dollar hapati

Umaskini gan huuu
Hili ni jambo jema sana. Tatizo la watanzania ni kuwa huwa tunaona siasa hazituhusu na hazina uhusiano na maisha yetu. Utasikia mfanyabiashara anasema hataki kuongelea mambo ya uongozi mbovu kwa sababu hataki matatizo bila kujua kwamba anapokaa kimya ndiyo anakaribisha matatizo makubwa zaidi. Hivyo basi ni vizuri nchi izidi kuwa na matatizo mengi ili wananchi wajue maana ya uongozi bora.
 
Tatizo la dollar ni kubwa
Hazipatikani hizi PhD ni za nn ??
Wananchi wanahaha
Si mlisema mwendazake amesababisha kupungua Kwa Dola Kwa Sababu ameharibu uchumi na amefukuza wafanyabiashara na huyu aliyeruhusu mchina awe machinga imekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…