Tuna export nini? ujue tunazunguka mbuyu bure tu. Nchi ni imejaa frame za kuuza imported goods from China unategemea nini? Nchanzo kikuu cha pesa za kigeni ni nchi kuuza nje bidhaa zake, sasa tunauza nini?
Kama Taifa tunatumia pesa za kigeni kununua hadi Midoli ya watoto kuchezea kutoka China unategemea nini?
Ukikaaa kanda ya Ziwa Mwanza, Malori yanayo leta mizigo Mwanza na kanda ya ziwa yanarudi tupu Dar, maana yake hakuna kitu cha kupeleka Bandarini Dar.
Kahawa isha kufa, Pamba isha jifia kitambo sana, sijui Tumbaku, unategemea Kweli tuwe na Dola za kutosha?
Nchi ni Imported oriented tuna import mno, hizo importation zote zinahitaji $ unategemea nini?
Kadri siku zinavyo Songa mbele ndio kadri nchi tuna kosa vitu vya ku export nje.
Wawejezaji wenyewe ni wale wanakuja kuwekeza kwenye viwanda vidogo vidogo maana yake hara flow ya $ inakuwa ndogo, hatuna Wawekezaji wakubwa wanao kuja na mitaji ya kutisha