Tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume si kubwa kama linavyotukuzwa na matapeli wauza dawa za asili wa mjini.

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
4,580
Reaction score
7,943
Siku hizi ukifungua mitandao ya kijamii utakutana na matangazo mengi ya kurefusha uume, mara kuongeza kiu ya tenda la ndoa au kutibu ukosefu wa nguvu za kiume.

Hawa watu wanakuja kwa ushawishi mkubwa mpaka unaweza ukahisi una tatizo ukilinganisha na performance yako kitandani.

Wanachokifanya hawa matapeli ni kukujengea hofu(kukutia kwenye tatizo) huku huna tatizo.

Kiujumla jamii ya Tanzania haijakumbwa tatizo la ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume kama wanavyotukuza wauza hizi dawa za asili.

Serikali idhibiti haya matangazo ya hovyohovyo kama walivyodhibiti matangazo ya michezo ya kubahatisha kwenye television na radio stations.
 
Kweli kabisa halafu mwishoni wanakutangazia dawa

Wa sukumaland
 
waache waoga wa maisha yao wapigwe pesa zao
 
Siku hizi ukifungua mitandao ya kijamii utakutana na matangazo mengi ya kurefusha uume, mara kuongeza kiu ya tenda la ndoa au kutibu ukosefu wa nguvu za kiume.

Hawa watu wanakuja kwa ushawishi mkubwa mpaka unaweza ukahisi una tatizo ukilinganisha na performance yako kitandani.

Wanachokifanya hawa matapeli ni kukujengea hofu(kukutia kwenye tatizo) huku huna tatizo.

Kiujumla jamii ya Tanzania haijakumbwa tatizo la ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume kama wanavyotukuza wauza hizi dawa za asili.

Serikali idhibiti haya matangazo ya hovyohovyo kama walivyodhibiti matangazo ya michezo ya kubahatisha kwenye television na radio stations.

Mkuu umewahi patwa na tatizo la nguvu za kiume?
 
Back
Top Bottom