Tatizo la ulimi

Tatizo la ulimi

mAgaziJuTO.

Senior Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
119
Reaction score
37
habari wakuu.nina wanangu wawili wanasumbuliwa na ndimi(kama ndio wingi wa ulimi).wanachubuka kama mtu aliyekunywa chai ya moto sana,lakini hawalalamiki maumivu.tatizo hili huja na kupotea baada ya kama wiki mbili huanza tena!imekuwa ndo maisha yao.NAOMBA MSAADA KWA MWENYE KUJUA TIBA YA TATIZO HILI.
 
Back
Top Bottom