mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
Hivi ni Nchi nzima au ni Tabora tu hii adha ya Umeme hapa Tabora MJINI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa 😄Ni hapo tu kanyenye mkuu.. Huku nilipo umeme haujawahi kukata.. 🥸🥸
Kazi iendelee.. umeme umesambazwa kilo 7.89 kwa kila kaya,kama hujaoa/olewa tumia mwanga wa taa ya jirani yakoHivi ni Nchi nzima au ni Tabora tu hii adha ya Umeme hapa Tabora MJINI?
Sawa 😂Kazi iendelee.. umeme umesambazwa kilo 7.89 kwa kila kaya,kama hujaoa/olewa tumia mwanga wa taa ya jirani yako