KERO Tatizo la umeme ni Tabora Mjini pekee au huko kwenu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nipo Zambia hapa hatuna hiyo adha
 
Hivi ni Nchi nzima au ni Tabora tu hii adha ya Umeme hapa Tabora MJINI?
Kazi iendelee.. umeme umesambazwa kilo 7.89 kwa kila kaya,kama hujaoa/olewa tumia mwanga wa taa ya jirani yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…