KERO Tatizo la umeme wilaya ya Kilosa

KERO Tatizo la umeme wilaya ya Kilosa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

hmaloh

Senior Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
162
Reaction score
314
Hii sasa imekuwa too much wananzengo Yani katika wiki Moja kupata umeme wa uhakika labda ni siku tatu! "what a shame to authority"

Jamani mnaohusika oneni aibu hii sio sawa kabisa mnazingua sana
 
Ukuaji wa Panzi ndo Tanzania yetu ilivyo...isipokuwa TZ inaruka hatua..yaani lishafikia hatua ya kuwa kilui lui, imerudi kuwa lava!

Hata sijui nasemaje!
 
Halafu wanataka mchakato wa kuwauzia majirani daah
 
Back
Top Bottom