TANESCO hawana huruma hata Jpili hii wanakata...mmmhhasante kamanda
hahaha utani kabisa huohawa watu bwana halafu wanakwambia tunayaangaza maisha yako
upo mkoabgani mkuujamani hapa nyumbani umeme unakatika katika ovyo kiasi kwamba ukija tuu naweka kwaya japo Mungu aingilie kati
ππππ