Tatizo la umeme

Tatizo la umeme

MAPAMBA

New Member
Joined
Nov 17, 2009
Posts
1
Reaction score
0
sababu kubwa ya tatizo la umeme tanzania ni utaalamu? au sera ?mbona tatizo linajirudiaridia kama vile liko nje kabisa ya uwezo wa serikali yetu?ni jambo la kushangaza sana kuona viongozi wa serikali wanagiza mitambo iwashwe baada ya mgawo kuanza kukolea,je hatuna wataalamu Tanesco?hawakuona haja kuishauri serikali iwashe mitambo kabla ya mgawo?au ni ufisadi tu?
 
Back
Top Bottom