Tatizo la uongezekaji wa wanafunzi wengi kufeli nchini.

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Posts
984
Reaction score
133
Nimetumiwa huu ujumbe kutoka kwa rafiki wa rafiki wa rafiki wa rafiki wa aliyeandika hii email. Hii email imetumwa kwa Michuzi (ingawaje bado sijaiona kule).

Sina uhakika kama kuna ukweli kwenye hii ishu, lakini kuna umuhimu wa kufuatilia kwa karibu.

 
duh ama kweli bongo ni dampo
 
duh ama kweli bongo ni dampo

Wewe acha tu. Yaani nchi imekosa dira wala mwelekeo. Ni kama vile boya linaloelea kwenye bahari...
 
Namba 4 na 5 kama yana ukweli vile, broadly speaking
 
Tatizo watu ambao ni watunzi wa hivyo vitabu hawana ujuzi/hawajasomea mambo ya science hivyo hawajui chochote. Mie naona kama huyo mtunzi ni mtafutaji pesa tu wala hajui biology.
Hili ndio tatizo la bongo, kitabu hadi kinauzwa madukani hata hakijakaguliwa na wizara ya elimu kwa nn? Inabidi serikali iwe makini na hawa watu wanaojifanya ni watunzi wa vitabu, kwanza serikali ijue taaluma zao sio kila mtu tu ajiamulie kutunga kitabu.
 
Lakini tuna wizara ya elimu yenye kitengo kinachopaswa kushughulika na mambo haya na wanalipwa mishahara. Hawa pia wamewekwa kwa kujuana la kama ingekuwa taaluma yao nafsi zingewasuta
 
ASNTENI wanachama wenzangu humu ndani ...! Nadhani serikali baada ya kuona vitu kama hivi ndo ikaja na suala kuwa KITABU AINA MOJA KITUMIKE MASHULENI...! Tsivyo na dogo tukalalamika weee ili hali serikali ilishaliona toka awali ndo maana ikaja na jibu hilo...!
BRAVO WIZARA YA ELIMU KWA KUSTUKA...!
 
Hivi hakuna chombo chenye mamlaka ya kukagua hivyo vitabu kabla havijaingia kwenye soko ili kuona kama vinaendana na mitaala yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…