Golden felician
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 216
- 36
Naomba msaada.vyakula gani vinavyozuia au kasi ya mtu kurefuka kupita kiasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani mwili mzm. I mean kimoUrefu huo unahusika kwenye nini hasa?
Namaanisha ni kimo cha mwili au kiungo cha mwili be specific please..
Dogo anakuja kasiDuh! Kumbe form 4 leaver.
Urefu na Ufupi ni kudra za mola ila unene na wembamba ni juhudi binafsi.Naomba msaada.vyakula gani vinavyozuia au kasi ya mtu kurefuka kupita kiasi
"Sky eclat kwenye uboora wako" hivi ww ni daktari? EeNi genetics ingawa wachina walisifiwa kwa ufupi kwa miaka Minho chakula chap ni mchele. Wana kunywa uji wa mchele asubuhi, mocha na jioni wali. Wachina walioanza kula salad na protein walirefuka