suleh barca
Member
- Aug 14, 2018
- 71
- 49
TATIZO LA USINGIZI NI SHIDA KWANGU
Moja kwa moja kwenye point,
Nimekuja kwenu wadau ili nipate maneno na ushauri wenu juu ya hili tatizo langu la kusinzia mbalo sahz naona linanipeleka kubaya kabisa sasa, nimepita hospital kadhaa kubwa hapa nchini zile za kiserekali na binafsi lakn hewa
Hili tatizo lilianza kuonekana rasmi wkt nikiwa shule ya msingi pale Ilala Boma 2001-2007. Kuna kipindi ilikuwa asubuhi tu nikiingia darasan kipindi cha kwanza naanza kusambaza, walimu walinichapa paka wakashindwa waliamua kuwaita wazazi wangu na waliwashauri wanipeleke hospital lkn hewa
Nakumbuka 2007 wkt nafanya mtihani wa Taifa wa kwanza (Hesabu), niliukagua mtihan ulikuwa ni mwepesi sana na maswali takriban 90% yalikuwa ndani ya uwezo wangu, nimefanya maswali paka 19 hivi nikalala hapohapo (kuna baadhi ya watu hulala kwenye paper baada y kuzidiwa na maswali lkn kwangu haikuwa hivyo paper ilikuwa ni simple sana).
Pia ilitokea kuna siku nilisinzia nikiwa msikitini kwny swala kile kipindi cha ramadhan nilianguka katikati ya swala af nikawa km ndo nazinduka hivi
Kali ya yote na ndo imenifanya nije kwenu ni hii hali ya sasa ambyo imeanza kunisumbua
Yan kuna siku nilikuwa faraghan na baby mama, ile tumeanza vizuri kwa kasi ya mautamu tu na maushirikiano ya kutosha. Piga game... piga nikupige weee... Mara mtoto akalala kifo cha mende me nipo zangu juu nakula vitu. Tukaanza zile za slowly slowly huku tunaskilizia utamu wkt yupo pale chini me napump taratibu hivi kuna kipindi hata sielewi ilikuwaje but nakumbuka nilipigwa kichwani na yule baby mama huku akinishtua weee... Daah nikashtuka asee kumbe palepale nilikuwa nashalala mchezon yan, mtoto alijua naskilizia utamu mwanzon akashangaa nmeacha kupump.
Huu ugonjwa sasa unaenda pabaya kam kuna mtu anajua dawa plz