Tatizo la usingizi litakuja kuniua mimi

huo ugonjwa tafuta mgonjwa wa ukimw mbadilishane tuombe mungu usiwakumbe na wengine
 
hazisaidii
Labda kama hazikusaidii wewe. Pia angalia. Inawezekana unapata usingizi mkali kutokana na homa. Nunua thermometer uwe unajipima homa. Ukiona joto lako linazidi nyuzi 37, basi inawezekana ukawa unasumbuliwa na Neutropenic fever!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…