spea mkononi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 345
- 324
Wadau,
Nasumbuliwa na tatizo la ngozi ya uso kubabuka au kupauka yaani nikipaka mafuta baada ya mda unapauka sijawah kutumia mkorogo wa aina yoyote nlienda phamacy wakanipa cream ya kujipaka ila tatizo likarudi tena.
Naombeni msaada kwa anayefaham n aina gn ya mafuta nitumie ili kuondoa tatizo hili.
Yaani uso wangu sio soft unakuwa una mgumu na mabakamabaka.
Msaada pllllllz!
Mkuu, umepungukiwa na vitamins au minerals fulani... Anza utumie Multi-vitamins pia kujalizia... ongeza ulazi wa matunda na nuts!!thanx Qanyengere
Waone watabiri wa nyota utakua na nyota ya mamba.
Duh....jf kunakuwaga na vijimamboWaone watabiri wa nyota utakua na nyota ya mamba.
bado cjafanikiwavp mrejesho mtoa mada