Tatizo la uso kupauka/kubabuka

Kunywa maji mengi sana, na matunda vitamin c kwa ajili ya kurutubisha ngozi, tumia nazi kwenye chakula kama mboga mboga katika upishi, wali, maharage, kunde, muhogo, ndizi za mkono wa tembo.

Utaona uso una shine baada ya muda mfupi. Nazi ina mafuta muhimu sana mwilinu
 
Oliver Oil na sabuni ya jamaa. Jaribu hiyo.
 
thanxx
 
Pole kula karanga kwa wingi mkuu, ila hilo jina lako duh ninaendana na uso wako mgumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…