Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili


njoo nikupatie dawa.unastyle zake huo.
uume hupinda kwasababu ya chupi za kubana sasa km ni gafla kamuone dr alokufanyia tohara kujua tatizo
 
bila shaka mboo yako ni ndefu tatizo ni kwamba chupi ni yakubana acha kuvaa chupi na dinda mara kwa mara au fanya mapenzi sana lazima inyooke yangu ilipinda hivyohivyo
 
ushamba sana how can u circms at 24 ulikuwa unaishije? unakumbuka shuka kumekucha? weka picha
 
mbona mingi imeenda upande........... lakini hata ukichungulia kwenye suruali zao unaona au wakitoka kuoga wamejifunga taulo hehehehehehe..... jaribu kuchungulia wenzio uone ni kwawida sana

Miss Chagga,kwani wewe umeshaziona ngapi zimepindia kushoto ama kulia? Ahahaaaa. ...wee mdadisi sana kumbe . Unakumbuka eeee...
 
Chunguza kushoto kunanini,kama mmea ukipindia mahali kwenye mwanga tunasema phototropisim,au ukifuata maji tunasema hydrotropism.sasa huo uume inaweza kuwa ni pussytropisim.

Ushauri; nunua rula ya mbao funga na kitambaa kuunyoosha

Hahahahaaaa pusytropism😀:
 
umeshaosha rungu?
wasiliana na Madame B kiboko yao
 
Last edited by a moderator:
pole mwaya nadhani ni kawaida uume kupinda ama kushoto au kulia au juu ai chini kulingana na maumbile kama ungesoma boarding ungechungulia wenzio ungejua ila hiyo ni kwa mujibu wa mwl wang wa biology wanaozimiliki ndo watakua na msaada zaid kwa kukuthibitishia.pole mwaya ika sidhani kama ni tatizo
 
Uume pekee ulionyooka wima ni wa mtoto....!!!!
Na hiyo ni kwa sababu mtoto anapofungwa nepi au diaper unawekwa katikati, lkn mtu mzima huwa na mazoea ya kuuweka upande mmoja. Achunguze packing yake ni upande gani na abadilishe
 
hlo nazan sio tatizo maana na mm imepinda hvo hvo na madem ndio wananipenda balaaa
 
Chunguza kushoto kunanini,kama mmea ukipindia mahali kwenye mwanga tunasema phototropisim,au ukifuata maji tunasema hydrotropism.sasa huo uume inaweza kuwa ni pussytropisim.

Ushauri; nunua rula ya mbao funga na kitambaa kuunyoosha
duh!! i think your not serious. are you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…