Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Acha kupiga nyeto kwa mkono wa kulia,piga nyeto kwa mkono wa kushoto itapinda kuelekea kulia
 
Kama ni promotion hii itakua ni ile ya jishindie mlango ya Chibuku.
 
wewe hivi inch 7.6 unajua ni cm ngapi??

hapa unaurefu wa cm zisizopungua 22. hebu chukua rula yako ya cm 30 utabakiza cm 8 tu ulingane nayo..

ushauri wangu kwako upeleke ukawe modo ya kufundishia kuhusu uvaaji wa condom badala ya kutumia kigogo cha mpingo tuutumie huo.

otherwise ongea na watoa dawa za kurefusha uume/nguvu za kiume wakufanye modo upate hela za fasta brodah!!
 
is it u????

nahisi ni hackers si wewe...............

Nahisi kuna mtu amehack account yangu aise
Mzima wewe
Yaani ngoja nimtafute aliyechukua password yangu aise sikubaliani na hili
Naona hii ni promotion bana mtu anatangaza mambo yake ya ndani kwa kadamnasi
 
Mwalimu wangu mpenzi,

hata wewe umeingia kwenye huu mkenge wa promo la huyu dogo?
 
Hawa madogo akili zao zinawadanganya wakijitangaza wana mibolo mikubwa mabinti watajipendekeza. Wanasahau kabisa kutafuta mahela....

Mkuu Asprin umeona eehh
Wanafikiri hiyo ni issue ya maana kama huna pesa mfukoni
Watafute hela hata wakiwa na vidogo watapendwa tuu
 
Last edited by a moderator:
Hawa madogo akili zao zinawadanganya wakijitangaza wana mibolo mikubwa mabinti watajipendekeza. Wanasahau kabisa kutafuta mahela....

utatua kwa maneno. Kwa hiyo tujitangaze tuna vibamia
 
Hawa madogo akili zao zinawadanganya wakijitangaza wana mibolo mikubwa mabinti watajipendekeza. Wanasahau kabisa kutafuta mahela....

babuuuu hivi unashangaa nini Asprin mpenzi wangu ilihali vivulana vya leo vinapenda kulelewa??

ndo mana nimemwambia akawauzie wenye matangazo ya nguvu za kiume ili wamtoe asiwaze kuwekwa kinyumba
 
Last edited by a moderator:
babuuuu hivi unashangaa nini Asprin mpenzi wangu ilihali vivulana vya leo vinapenda kulelewa??

ndo mana nimemwambia akawauzie wenye matangazo ya nguvu za kiume ili wamtoe asiwaze kuwekwa kinyumba

Hahaha ahsante mwalimu na mpenzi wangu. nadhani atakuwa kakuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha eti jishindie mlango. Yaani nahitaji kunywa chibuku ngapi, manake nna pagale nikipata milango 2 tu nahamia. Ni ya grill ama mbao?
Kama ni promotion hii itakua ni ile ya jishindie mlango ya Chibuku.
 
King'asti unafanya nini huku kwenye promotion na Paw anajua uko huku kwenye promotion
 
Last edited by a moderator:
Aisee kumbe ukijiona una dudu kubwa kuna ma extra large
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…