kama ulizoea kuuweka upande mmoja wa chupi yako bac badili upande utaanza kuuona ukielekea upande huo, ukifikia kati acha kuvaa chupi au uwe leo wauweka kulia kesho kushoto.
Yaani niliposoma title, nikadhani uume wako unatoa msaada.
Anyway, nijuwa mara nyingi huwa unapinda baada ya kutahiri. Na uliopinda ndo huwa unakwangua vilivyo if properly used
Inawezekana ikawa ni hali ya kawaida,lakini pia kuna wakati mwingine inawezekana kuna tatizo la kulegea kwa mishipa upande uume ulipolalia.Muone Daktari.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ila nataka wa kwako orijino.
fanya mpango uuone then ulete pcha ili nimshauri dawa.
basi tuonane nikuoneshe maana naitaji msaada
Vilivyopinda siwezi.....vinatishaa..hahahahahahahunaogopa nini sasa?
uume wangu umepinda.hapo zamani ulikua umenyooka lakini kipindi cha balehe yaani wakati wa kuanza dinda na kwa kua uume mrefu basi chupi ilikua inanibana na kupelekea kupinda kwenda chini msaada nitaunyooshaje
Uamishie upande kinzani kwa miezi kadhaa..utarudi,ebu wacha kuvaa michupi ya kubana we jamaa.. hilo sio tatizo kubwa lakini hiyo michupi wacha haraka vaa boksa za kujiachia