Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Sio ugonjwa Hali hii husabishwa na nguo za ndan na unavyo penda kuuweka uume wako Kwa mfano kama unavaa nguo zinazo bana afu ukawa unauelekza uume wako either left [emoji118] uume utaelekea uko uko lakin kama unafanya hivyo mala nyingi yaan Kwa mazoea iyo ndo sababu kubwa mimi pia nina tatzo Hilo na hii ndio sababu kuu iliyo fanya iwe hivi
 
Umeteteaa sanaa mzee itakuwaa Umepindaaa nini!???
 
Ni maumbile kama zilivyo ****...za kila aina na sura tofaut zingine kama mtoto anazomea,zingine kama bibi amenuna,znginne kama mtoto analia..
hahahaaahahahahahahahahahaha
 
Ninatoa experience yangu mwenyewe.. Nilivyokuwa mdogo uume wangu ulikuwa straight na ulikuwa wa wastani... katika teenage ulianza kurefuka kwa kasi na kusababisha nikivaa chupi ni lazima niupindie upande mmoja ilitokea tu nikawa naupindia zaidi kushoto. Na wenyewe umeelekea hukohuko kushoto.

Nilitamani nisiwe navaa chupi kipindi hicho ila balaa sasa nisipovaa kwa bahati mbaya ukashtushwa ukasimama inabidi nitafute mahala nikae kwanza. so kuondoa hizi adha ilikuwa lazima niubane kwa chupi tight. mpk sasa umepinda ila ukierect na kuingia kwenye K uko kawaida coz nafeel angle zote za K.

Kama hujaona na unataka kuona its for free maana naamini hatujuani humu.. nakutumia picha yake tu baasi..
 
Sababu nyingine mna dindisha dindisha ovyo hata sokoni,kwenye daladala,barabarani kila sehemu mkipishana na sketi mna dinda,ndio hapo mnapoingiza mkono mfukoni mkabana pembeni,utaacha kupinda[emoji41]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ww
 
Loh! Wanaume msipende kuvaa boxer zinazobana kupita kiasi madhara yake ndo hayo .ukute sasa imepindia chini au pembeni loh! Sijui kama unaenjoy kwenye kumake love!
 
Uume kupinda kunasababishwa na magonjwa ya zinaa
Dah....hata chupi za kubana pia...has a pale unapoupumzisha sehemu ileile kila siku.... Nipo vyema ukawa na ratiba maalum...juu...chini....kushoto au kulia[emoji41]
 
Ni maumbile kama zilivyo ****...za kila aina na sura tofaut zingine kama mtoto anazomea,zingine kama bibi amenuna,znginne kama mtoto analia..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umme uliopinda kiukweli hauvutii maana utakuwa unakuna eneo moja tu la k. Uma!

Tunajitahidi tunafika ili kuwaridhisha wanaume wa zilizopinda ila kiukweli siyo watamu
Ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…