Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

utashanga jitu linakuja linakwambia hiko ni kilema cha mbo. akati ni uvaaji wa chupi na boxa zinazobana ndo zinazosababisha ipinde.
 
Loh! Wanaume msipende kuvaa boxer zinazobana kupita kiasi madhara yake ndo hayo .ukute sasa imepindia chini au pembeni loh! Sijui kama unaenjoy kwenye kumake love!
Ni zaidi ya kuinjoy na naamini hata nyie mna injoy kwa maana hata kukiorojeka bado itakwangua pembezoni.
 
Uume unapinda kulingana na position uliyozoea kuuweka kwenye chupi km utauweka kulia Basi utapindia upande huo na kama kushoto halikadharika utakaa kushoto na chini ni kwa wale wanaoulazimishia chini wakivaa chupi!ila kuna theory ambayo haijathibitishwa ki sayansi ila IPO "uume unapinda ku oppose mkono wenye nguvu wa Mtu "km wewe ni left handed uume utapindia Kulia km ni right handed nao utapindia kushoto ila explaination ya kupindia chini Haina proof kwa wanaume unaweza kuhakikisha hii theory just now
 
Unapinda kwa sababu ya jinsi ulivyotahiriwa baada ya hapo unaulaza pembeni kwa muda mrefu na kwa sababu unauma huugusi so unaanzia kupindia hapo
Wewe ndo umeongea jibu la mbolea, hata wangu umepinda bt function yake ni mwendo Wa jet
 
Umme uliopinda kiukweli hauvutii maana utakuwa unakuna eneo moja tu la k. Uma!

Tunajitahidi tunafika ili kuwaridhisha wanaume wa zilizopinda ila kiukweli siyo watamu
Acha kuzingua ukiingia kunako unanyokaaa
 
Mizard umenena ni kweli, ila katika ile shughuli ndani unanyooka, shida iko wapi akina dada?
 
Daah aisee umeeleza vizuri mkuu!
Naona mwishowe ukaamua uwape fursa wakina bidada wajione kama yaliyomo yamo!
 
Sababu nyingine mna dindisha dindisha ovyo hata sokoni,kwenye daladala,barabarani kila sehemu mkipishana na sketi mna dinda,ndio hapo mnapoingiza mkono mfukoni mkabana pembeni,utaacha kupinda[emoji41]
Hahahahahaha nmecheka sana dah sichezi na wewe[emoji127]
 
Nazan kupinda kw uume huchangiwa pia na aina ya nguo za ndan wanazovaa ..hasa zile za kubana sana
Naona hata uwekaji wa uume ukivaa nguo za ndani inategemea na wewe unavyoiweka ndyo maana zinapinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…