Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Lazima upindeSababu nyingine mna dindisha dindisha ovyo hata sokoni,kwenye daladala,barabarani kila sehemu mkipishana na sketi mna dinda,ndio hapo mnapoingiza mkono mfukoni mkabana pembeni,utaacha kupinda[emoji41]
Nini kinatokea mpaka uume unapinda? Nini madhara yake kwenye mapenzi? Je wadada wanapenda uume uliopinda? Na wanafika kileleni? Na utaufanyaje urudi kwenye hali yake?
Yeyote mwenye ujuzi kuhusu hili.
Umeyajuaje haya ya kuingiza mkono mfukoni na kuuweka mnara vizuri!!?Sababu nyingine mna dindisha dindisha ovyo hata sokoni,kwenye daladala,barabarani kila sehemu mkipishana na sketi mna dinda,ndio hapo mnapoingiza mkono mfukoni mkabana pembeni,utaacha kupinda[emoji41]
Unafikiri hatuwaoni??Umeyajuaje haya ya kuingiza mkono mfukoni na kuuweka mnara vizuri!!?
Hatari Sana!! Sometimes unaweza aibika ujue so inabidi tutumie tu tekniki hiyoUnafikiri hatuwaoni??
😂😂😂😂😂hayaaa ndio maana vinapindaHatari Sana!! Sometimes unaweza aibika ujue so inabidi tutumie tu tekniki hiyo
UongoUume kupinda kunasababishwa na magonjwa ya zinaa
ila wapo ambao hawatumii na bado wana hiyo penis curvature..Mnaotumia midawa ya kuongeza size lazima bendera ipepee nusu mlingoti. Kuna siku haitapepea tena...