Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
Kupinda kunaweza kukawa ni sababu ya mojawapo au yote ya haya nitakayoyataja hapa chini
1. Chupi
Kwa kawaida huwa tuna weka madushelele yetu upande mmoja.... kuna wanaoweka kushoto , akuna wanaoweka kulia... Matokeo yake dushelele inazowea huko na mwisho unakuwa huwezi badilisha... INAPINDIA KUELEKEA HUKO ULIKOISZOWESHA
2. Kutahiriwa
kwa wale waliotahiriwa na kushonwa, kuna watu wameachwa na ngozi kubwa upande mmoja, na upande mwingine imefutwa sana kiasi cha kuifathanks mkuu point zako za ukweli sana sababu nimejaribu kuilazia kushoto naona outcome za kunyooka ni ndogo sana
Em kueni na busara jaman.....mwenzenu anapokua na shida yuko serious kutafuta tiba.....nyie mnamjibu majibu ambayo siyo,,.....haipendezi jaman,,....ustaarabu jambo la bure kabisa,,....tubadilike
mwenzenu anapokua na shida yuko serious kutafuta tiba.....
Kupinda kwa uume sio ugonjwa wala kasoro...
Kupinda kwa uume sio ugonjwa wala kasoro...
Hayo ni madhara ya kuvaa nguo za kubana sana, vijana wengi wanafikiri ni fasheni kuvaa hivyo matokeo yake hata zile korodani zinashindwa kuvutika chini nakurudi ndani kwa wakati wake n ahivyo kupelekea uzalishwaji usiokuwa sahihi wa mbegu za kiume na hatimaye kukosa uwezo wa kusababisha ujauzito.
Jitahidi kuvaa nguo zenye nafasi kidogo.
Hahahah kaka mkubwa umenifurahisha sana hahahah....Wakati wa.penetration itakuwa kama anashona.gunia sasa!!!
thanks watu8 but wanawake wanauchukuliaje uume kama huo?
Anyway ngoja niwe serious kidogo lol...
Mkuu ni wanaume wengi sana wenye umbo kama hilo la uume na kimsingi halina shida yoyote kwenye kungonoka...
Lazima utambue kuwa miili yetu imetengenezwa kwa misuli na sifa moja wapo ya msuli ni uwezo wa kujikunja kutegemeana na shinikizo litolewalo kwa wakati husika...
Hivyo hata kama uume umepinda, pindi utaposimama barabara na kuingizwa kwenye uke wa mwanamke, basi uke wa mwanamke utachukua umbo sawasawa na lile la uume...
Yeah on a serious basisAnyway ngoja niwe serious kidogo lol...
Mkuu ni wanaume wengi sana wenye umbo kama hilo la uume na kimsingi halina shida yoyote kwenye kungonoka...
Lazima utambue kuwa miili yetu imetengenezwa kwa misuli na sifa moja wapo ya msuli ni uwezo wa kujikunja kutegemeana na shinikizo litolewalo kwa wakati husika...
Hivyo hata kama uume umepinda, pindi utaposimama barabara na kuingizwa kwenye uke wa mwanamke, basi uke wa mwanamke utachukua umbo sawasawa na lile la uume...
hapo nimeanza kukuelewa sasa
Yeah on a serious basis
Uume umepinda kwenye shina? ??!!!
Au at the middle of the shaft??!!!
Kama.he is real bothered then physical examination yaweza kuwa muhimu
Nilikuwa napita tu mkuu nikasikia sauti ya mkuu Rocky nikaona nichungulie nami nitoe japo mchango wangu.
Usijali mkuu shaka ondoa...hiyo silaha uliyonayo ipo tayari kwa vita wakati wowote hata ikikutana na binti kigoli ambaye tundu lake halijawahi kupekechwa...
Utamtoboa na aghalabu tundu lake litanyooka kama mapango ya Amboni...
Uume umepinda kwenye shina? ??!!!
Au at the middle of the shaft??!!!
Mambaee hongera tena usiwe na shaka upo safi kama ulivyo ukioa kihalali utajaaliwa watoto wakiume wote!! siri hii ninayo!!Wana Jf naomba msaada wenu uume wangu umepinda kuelekea kulia uwe umelala au umesimama nahisi utaniletea matatizo wakati wa kufanya mapenzi je nifanyeje ili unyooke uwe kama kawaida.?nina miaka 20
aya bwana manaake nilikua na mi wasiwasi kibao juu ya mashine yangu.