Tatizo la uume kusimama moja kwa moja

Mke wa mtu ni sumu, mtafutie maziwa anywe atakuwa sawa.
Hilo ni #FUNZO

Anyway...
  • kama sio chai, aende kweny maombi.
  • au akaombe msamaha tu
  • mwisho kabxa akifel, aanze doz ya asiri.(maji+kaa la moto+jivu la moto+chumv ya mawe+jivu la jalalan+msaka uchawi+itinginya) doz morning to sleep time.
AU
(mkojo wa ahsubh+chumvi ya mawe) aoge ahsubh mapema kwa manuiz, shart asiongee na mtu had amalze kuoga na kakauka.

DOZI HIYO HAPO, Tumbili wa Mjini
 
eti uzuri ana kibamia! Kwani kibamia kikisimama hakionekani kutunisha suruali?
 
Kwaiyo sisi wanaume tukitembea wewe unakuwa makini kutazama mboro zetu?

Hivi nyie madogo mna shida gani mna left group mnatuachia hawa mademu wazuri wenyewe
Tulia kijana , nipo serious usichukulie hili swala kiutani, hebu fikiria likukute hata Kwa nusu siku kabla hujaanza kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…