juma mpenda
Member
- Dec 19, 2016
- 15
- 2
Hahahaha!aliyekuroga kafa...we subiri siku ukute uume hausimami, sijui utakuja tena kuomba ushauri?
maana sisi tunashukuru kusimamisha maana ndio uanaume wenyewe huo, wengine hawasimamishi kabisa au ndio unataka kuwa kama wao???
unamaaniaha nini?Hahahaha!aliyekuroga kafa...
Mkuu!iyo hali ni kweli hutokea mara nyingi kwa sisi wanaume tuliokamilika na sijui mwenzangu kama umeoa kama mimi na iyo ndio dawa yake kwamba ikisimama tu unakwea mwanawaneHabari wana jamiii
Naombeni msaada maana hili tatizo nililonalo limekuwa sugu sasa.
Ni kwamba uume wangu umekuwa ukisimama pindi nipo usingizini ila nikishtuka hiyo hali inapotea ghafla. Nikiwa usingizini najijua kuwa nimesimamisha hadi kulala huwa napata tabu. Huwa nashindwa hata kujigeuza maana kitu kinakuwa kimedinda ile mbaya.
Jamani naombeni ushauri. Hii hali nimedumu nayo huu ni mwaka wa 17 sasa.
[emoji15] [emoji15]Wachawi wanaukalia Mkuu hamna namna ingine
Kadri siku zinavyozidikwenda ndo utazidi kuelewa kwamba dispite of all efforts made by different people in several forums (including JF) addressing effects of masturbation, still wazee wa kazi bado huwa tunaendelea kupiga!Habari wana jamiii