Jamani mwenzenu nina Tatizo la Uume wangu unapokuwa haujasimama basi huwa mdogo kama wa mtoto, tatizo na suluhisho ni nini?
PIA uume unaposimama ninapotaka kufanya tendo la ndoa basi Husinyaa haraka, yaan Hausimami kwa muda mrefu na Hauwi mgumu unakuwa Lege lege......Nisaidieni!