enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Habari za mchana wanajamvi......
Poleni na mihangaiko ya kuijenga Tz ya viwanda na uchumi wa kati.
Tikiwa tunaendelea kutafakari teuzi za ma RC(Malima na Mnyeti) naomba nisaidiwe kwa tatizo linalonisumbua, toka juzi uume wangu unauma hasa pale unaposimama nasikia kama kuna kitu kinanichoma kwa ndani, lakini hili tatizo halitokei pale nnapokuwa nakojoa.
Wakuu naombeni msaada wenu ili nijue nafanyaje mapema niweze kupona na kuendelea kuijenga TZ ya viwanda.
Natanguliza shukrani zangu .