Tatizo la uume kuwasha

Tatizo la uume kuwasha

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
hbr zenu wanajf
mi nilpatwa na uvimbe km upele kwenye uume baadae ule uvimbe uliisha lakn uume ukawa unawasha sana sasa hivi nashangaa kila uume ukisimama au nikitizama uume nikijaribu kubonyeza unatoka usaha kidogo sasa sijui tatizo ninin?nishaurini pls!
 
Ndugu tayari ushamchomeka abdala kichwa wazi kwenye tundu bovu, wahi hospitali mapema ukapata tiba.
 
Tayari una maambukizi nenda mapema kituo cha afya kabla hali haijawa mbaya zaidi. Usione aibu maana mficha uchi hazai.
 
Nawashukurun wakuu nimepona kbs tatzo ila ninahofu uxkute tatzo ltarud tena
 
Back
Top Bottom