Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
ndugu tayari ushamchomeka abdala kichwa wazi kwenye tundu bovu, wahi hospitali mapema ukapata tiba.
Tayari una maambukizi nenda mapema kituo cha afya kabla hali haijawa mbaya zaidi. Usione aibu maana mficha uchi hazai.
sijaelewa umemaanisha nin mkuu