Tatizo la uvimbe katika tumbo la uzazi.

shimwemwe

Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
65
Reaction score
2
Wana FJ napenda kujua kuna athari gani ambazo zizaweza kumpata mtu mwenye tatizo la uvimbe katika tumbo la uzazi. Napata shida jinsi ya kumpa msaada mtu wangu wa karibu, je dawa yake au suluhisho lake nini?
 
madhara ni kuwa aweza akawa mgumba so waone madaktari bingwa wa magonjwa ya kina mama.
 
asante ndugu pia chanzo chake ni nini Billie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…