Tatizo la uvimbe sehemu za siri

Jose022

Senior Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
127
Reaction score
73
Wakubwa salamu natumai mu wazima naombeni msaada wenu ni nini kinasababisha kuwa na uvimbe kwa mwamaume pembeni ya ume na pia ni kitu gani kinasababisha uume kupata majeraha ya michubuko hata bila ya kufanya mapenzi na je tatizo hili linatibika maana nahisi uume unakosa nguvu naombeni ushauri wenu...
 
Nenda hospitalini kama unaona kitu chochote ktk mwili wako hakiko sawa, na usichelewe la sivyo ugonjwa utakuumbua.
 
jitahidi kuvaa chupi,usiliache wazi dushe lako linaning`inia tuuu ka mtu wa kaskazini,ndio maana linavimbiana,pia tafuta mwenza,ugwadu utakuua..
Uvimbe upo pembeni ya uume na siyo kwenye uume
 
kuna uvimbe ambao huwa hauna maumivu na ndani unakuwa na vitu kama usaha ulioganda na pia damu, huu mara nyingi huwa unapona wenyewe after few days. Pia kuna ule ambao huwa unasababishwa na in-grown hair [kwa wale wanaopenda kutrim nywele sehem za siri badala ya kunyoa zote]. kwa maelezo zaidi muone daktari
 
Uvimbe upo pembeni ya uume na siyo kwenye uume
Hiyo itakuwa Hernia,katika early stages-with time uvimbe utakuwa mkubwa na pain itakuja na kuondoka-operation yake ni cha mtoto,unafanyiwa asubuhi jioni waenda nyumbani
 
jitahidi kuvaa chupi,usiliache wazi dushe lako linaning`inia tuuu ka mtu wa kaskazini,ndio maana linavimbiana,pia tafuta mwenza,ugwadu utakuua..
Unachekesha wewe, huwezi kuona mtu Wa kaskazini mwenye kibamia so kuna siri kwenye kuacha dushe lining'inie. Na kwanini ulibane? Au hujui kuwa kulibana kunaathiri kiwanda?
 
Hospitali ikishindikana nenda kwenye tiba za asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…