Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Overweight and obesity are defined as abnormal or excessive fat accumulation that presents a risk to health. A crude population measure of obesity is the body mass index (BMI), a persons weight (in kilograms) divided by the
square of his or her height (in metres). A person with a BMI of 30 or more is generally considered obese. A person with a BMI equal to or more than 25 is considered overweight.
Overweight and obesity are major risk factors for a number of chronic diseases, including diabetes, cardiovascular diseases and cancer. Once considered a problem only in high income countries, overweight and obesity are now dramatically on the rise in low- and middle-income countries, particularly in urban settings. http://www.who.int/topics/obesity/en/
Pia Uzito kupita kiasi (Obesity) ni tatizo lingine, ambapo tangu mwaka 1980 watu wenye uzito kupita kiasi wameongezeka mara mbili duniani, ampapo zaidi ya watu Bilioni 1.4 walikuwa na tatizo hili duniani na zaidi ya yote ni kuwa watoto milioni 40 chini ya miaka mitano walikuwa na uzito kupitiliza
Kibaya zaidi asilimia 70 80 ya magonjwa haya ambayo yanaweza kuepukika yanatokea katika nchi zenye kipato cha chini na kati duniani, Tanzania ikiwamo.
Je tumefikaje hapo? Je tufanye nini kuepukana na maafa haya yanayotunyemelea?
Jambo la kutia matumaini ni kuwa magonjwa haya ambayo mengi yanatokana Mitindo yetu ya maisha yanaweza kuepukika kwa kupata tu elimu sahihi, na zaidi kila mtu aweza kuwa sehemu
ya ufumbuzi wa janga hili na kuokoa maisha ya ndugu na jamaa zetu ambao wanaweza
kuteketea kwa magonjwa yanayozuilika, tuwasiliane ikiwa wataka kuwa sehemu ya utatuzi Nitumie Email fewgoodman@hotmail.com