tatizo la vipele usoni

tatizo la vipele usoni

mtznunda

Senior Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
146
Reaction score
19
Kuna mtu ana tatizo la vipele vingi kama chunusi msaada wenu wajf
 
Mwambie anunue medicated soap, protex,deto na if symptoms persist amwone physian!
 
Aache kula karanga mbichi na awe anapiga punye...to.. kwa wingi.
 
Kuna mtu ana tatizo la vipele vingi kama chunusi msaada wenu wajf

Unaogopa kujitaja mkuu km ni wewe???

una umri gani mkuu??? Nahisi yawezekana upo kwenye umri wa balehe na ndio maana unapata hilo tatizo!
Nenda hospitali kama ukawaone specialists wa ngozi watakusaidia!

 
Chukua Siki Ya Apple Kidogo Changanya Na Maji Kidogo Pamoja Na Mafuta Ya Nazi Kidogo Sana, Paka Kwenye Mapele. Subiri Dakika Tano Au Kumi, Kosha Uso Kwa Maji Yaliokuwa Si Baridi Sana. Pakaa Kwa kila Siku Mara Moja.
 
Anawe uso wake mara 3 au zaid kwa siku,anaweza pia kutumia persol 2.5 gel inasaidia..ol the best!
 
Back
Top Bottom