kangaya Member Joined Oct 14, 2014 Posts 51 Reaction score 3 Aug 26, 2015 #1 Wakuu nina tatizo la sugu za visigino ambalo nililitoa kwenye maboot ya jeshini mwaka juzi. Sasa mpaka leo hazijakwisha na zinanitesa sana maana zinaniharibia viatu sana. Naomba msaada.
Wakuu nina tatizo la sugu za visigino ambalo nililitoa kwenye maboot ya jeshini mwaka juzi. Sasa mpaka leo hazijakwisha na zinanitesa sana maana zinaniharibia viatu sana. Naomba msaada.