Tatizo la waamuzi Africa limekosa tiba au ni udhaifu wa CAF

bullar

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
9,530
Reaction score
20,988
Najaribu kuwaza hawa waamuzi wanao chezesha michuano iliyo chini ya CAF wana matatizo gani ? ni kwamba hawana uelewa, wanafanya makusudi au kuna sheria za mpira ambazo zipo Africa kwingine hazipo?
Mifano ya mechi zilizo leta utata zipo nyingi hapa nita ainisha chache
1. Mechi ya kufuzu world cup kati ya Ghana na South Africa penalty ya utata
2. Finali ya Champions league 2019 kati ya Wydad Casablanca na Esperance de Tunis ( mechi ilivunjika kwa utata waemaamuzi)
3. Mechi ya Tunisia na Mali kwenye mashindano ya AFCON 2022
4. Mechi ya Al Ahl na Raja Casablanca hii ya juzi ajabu ni kwamba referee alienda kuangalia kwenye VAR na inaonyesha wazi mpira uligusa goti sio mkono bado referee akaweka tuta
5. Mechi ya Simba na Orando sikujua kwanini referee hakuenda kujiridhisha kwenye VAR
6. Mechi ya Asec Memosa na USGN kuna penalty ilitowewa mpka unae tazama unaona aibu.
Hizo ni baadhi ya mifano they are too many to mention, swali ambalo najiuliza kwamba CAF ni taasisi dhaifu imeshindwa kuondoa huu uozo kwani hatuoni kama hausaidii lolote ndio maana team zetu zikienda level ya mashindano ambayo fair play ipo tuna kwama mfano klabu bingwa dunia na world cup
Nb. Sijataka kuongelea waamuzi wetu wa TFF hawa wamekisha shindikana
 
Umezunguka weee ila mwisho wa siku tumekuona ulipo jificha kwenye pointi namba 5 .....

Ivi kwann ikicheza Simba inachafua hali ya hewa kwenye vijiwe vya Gahawa huko mliko?

IMG-20220418-WA0007.jpg
 
Wewe ndiwe huna akili tunabaki kukushangaa

Clear foul unamtaka refa aende kwenye VAR kufanya nini?

Laiti ungekuwa na chembe japo kidogo ya akili ungejua kwa nini refa hakwenda. Ila kwa kuwa huna akili umekuja kuanzisha thread

Utopolo wahead
Ukingalia vizuri refa hakua na uhakika ndio maana akaanza kuwasiliana alishindwa nini kwenda kutazama VAR na mbona nme mention matukio mengi tu hapo iweje la Simba liwe big deal?
 
Najaribu kuwaza hawa waamuzi wanao chezesha michuano iliyo chini ya CAF wana matatizo gani ? ni kwamba hawana uelewa, wanafanya makusudi au kuna sheria za mpira ambazo zipo Africa kwingine hazipo?
Mifano ya mechi zilizo leta utata zipo nyingi hapa nita ainisha chache
1. Mechi ya kufuzu world cup kati ya Ghana na South Africa penalty ya utata
2. Finali ya Champions league 2019 kati ya Wydad Casablanca na Esperance de Tunis ( mechi ilivunjika kwa utata waemaamuzi)
3. Mechi ya Tunisia na Mali kwenye mashindano ya AFCON 2022
4. Mechi ya Al Ahl na Raja Casablanca hii ya juzi ajabu ni kwamba referee alienda kuangalia kwenye VAR na inaonyesha wazi mpira uligusa goti sio mkono bado referee akaweka tuta
5. Mechi ya Simba na Orando sikujua kwanini referee hakuenda kujiridhisha kwenye VAR
6. Mechi ya Asec Memosa na USGN kuna penalty ilitowewa mpka unae tazama unaona aibu.
Hizo ni baadhi ya mifano they are too many to mention, swali ambalo najiuliza kwamba CAF ni taasisi dhaifu imeshindwa kuondoa huu uozo kwani hatuoni kama hausaidii lolote ndio maana team zetu zikienda level ya mashindano ambayo fair play ipo tuna kwama mfano klabu bingwa dunia na world cup
Nb. Sijataka kuongelea waamuzi wetu wa TFF hawa wamekisha shindikana
Kwanza mlisema simba atafungwa,
Sasa hivi mnasema kimoja hakitoshi hii nchi hii [emoji119]

Anashindiliwa pirates ,kichefuchefu anapata utopolo....
Maajabu hayaishi

Kapoooombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....
Show me the waaaaaaaayyyyyy
Anawainua wanasimba uwanjaniiiiiiiiiii
Anawainua mashabiki elfu sitini hapa lupaso
Nani kasema simba haendi nusuuuuuuuu?
Uwanja unazizimaaaaaaaaaaaaa.......

Utaratibu ni ule uleeeeeeeeeee....
Utaratibu ni ule uleeeeeeeeeeeeeee......
Heshma ya Taifa la Tanzania ipo mabegani kwa wana Lunyasi........
Ukinuna uwe na sababuuuuuuuuuu
Simba inaibeba Nchi na wananchi wakeeeeeeee

Aghaaaaa aghaaaaa aghaaaaaaa

Hii ndio siri ya amaniiiiiiii na furahaaaaaaa
Simba sports clubbbbbbbbb
Simba sports clubbbbbbbbbbbb.............

Nani anatesekaaaaaaaaaaaaaaaa.......

This isssssssssssss SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA........

Pole wewe unayepata sononeko la moyo
Njoo simba raha zipo hukuuuuuuuuuu

Mtangazaji wa jana aliua sana

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Najaribu kuwaza hawa waamuzi wanao chezesha michuano iliyo chini ya CAF wana matatizo gani ? ni kwamba hawana uelewa, wanafanya makusudi au kuna sheria za mpira ambazo zipo Africa kwingine hazipo?
Mifano ya mechi zilizo leta utata zipo nyingi hapa nita ainisha chache
1. Mechi ya kufuzu world cup kati ya Ghana na South Africa penalty ya utata
2. Finali ya Champions league 2019 kati ya Wydad Casablanca na Esperance de Tunis ( mechi ilivunjika kwa utata waemaamuzi)
3. Mechi ya Tunisia na Mali kwenye mashindano ya AFCON 2022
4. Mechi ya Al Ahl na Raja Casablanca hii ya juzi ajabu ni kwamba referee alienda kuangalia kwenye VAR na inaonyesha wazi mpira uligusa goti sio mkono bado referee akaweka tuta
5. Mechi ya Simba na Orando sikujua kwanini referee hakuenda kujiridhisha kwenye VAR
6. Mechi ya Asec Memosa na USGN kuna penalty ilitowewa mpka unae tazama unaona aibu.
Hizo ni baadhi ya mifano they are too many to mention, swali ambalo najiuliza kwamba CAF ni taasisi dhaifu imeshindwa kuondoa huu uozo kwani hatuoni kama hausaidii lolote ndio maana team zetu zikienda level ya mashindano ambayo fair play ipo tuna kwama mfano klabu bingwa dunia na world cup
Nb. Sijataka kuongelea waamuzi wetu wa TFF hawa wamekisha shindikana
Kuwa na aibu hata kidogo wewe uto...

Chuki zisikudhalilishe
bm3gh-20220418-0001.jpg

Hiv maamuzi mangapi ya marefa hta ulaya yanalalamikiwa. Tatizo Lako ni chuki tu, na husda penati yoyote Ile asilimia kubwa Huwa zinalalmikiwa
 
Ukingalia vizuri refa hakua na uhakika ndio maana akaanza kuwasiliana alishindwa nini kwenda kutazama VAR na mbona nme mention matukio mengi tu hapo iweje la Simba liwe big deal?
Kwahiyo kumbe uliona kabisa refa anawasiliana sasa unajua alikuwa anawasiliana na nani?
Ndio maana tunasema washabiki wa yanga wote mbumbumbu kengemaji

wewe jamaa hua una ujinga huwezi jadili kitu bila lugha za matusi , nmetoa mifano mingi sana wewe umeona mechi ya Simba tu ?
 
Hiv maamuzi mangapi ya marefa hta ulaya yanalalamikiwa. Tatizo Lako ni chuki tu, na husda penati yoyote Ile asilimia kubwa Huwa zinalalmikiwa
Sio kwa level yetu huku, uliona wapi refa anamaliza game dakika ya 89 tena kwenye tournament kubwa kama AFCON?
 
Najaribu kuwaza hawa waamuzi wanao chezesha michuano iliyo chini ya CAF wana matatizo gani ? ni kwamba hawana uelewa, wanafanya makusudi au kuna sheria za mpira ambazo zipo Africa kwingine hazipo?
Mifano ya mechi zilizo leta utata zipo nyingi hapa nita ainisha chache
1. Mechi ya kufuzu world cup kati ya Ghana na South Africa penalty ya utata
2. Finali ya Champions league 2019 kati ya Wydad Casablanca na Esperance de Tunis ( mechi ilivunjika kwa utata waemaamuzi)
3. Mechi ya Tunisia na Mali kwenye mashindano ya AFCON 2022
4. Mechi ya Al Ahl na Raja Casablanca hii ya juzi ajabu ni kwamba referee alienda kuangalia kwenye VAR na inaonyesha wazi mpira uligusa goti sio mkono bado referee akaweka tuta
5. Mechi ya Simba na Orando sikujua kwanini referee hakuenda kujiridhisha kwenye VAR
6. Mechi ya Asec Memosa na USGN kuna penalty ilitowewa mpka unae tazama unaona aibu.
Hizo ni baadhi ya mifano they are too many to mention, swali ambalo najiuliza kwamba CAF ni taasisi dhaifu imeshindwa kuondoa huu uozo kwani hatuoni kama hausaidii lolote ndio maana team zetu zikienda level ya mashindano ambayo fair play ipo tuna kwama mfano klabu bingwa dunia na world cup
Nb. Sijataka kuongelea waamuzi wetu wa TFF hawa wamekisha shindikana
Yawezekana hata Wewe mwenyewe una macho na ubongo wa mchongo.
 
Hiv maamuzi mangapi ya marefa hta ulaya yanalalamikiwa. Tatizo Lako ni chuki tu, na husda penati yoyote Ile asilimia kubwa Huwa zinalalmikiwa
Next weekend sio mbali tutasikia haya nnayo ongea
 
wewe jamaa hua una ujinga huwezi jadili kitu bila lugha za matusi , nmetoa mifano mingi sana wewe umeona mechi ya Simba tu ?
Mnakera watu . Mnakaa kujilizaliza tu kama mademu. Uwanjani au vibandaumiza huwa mnafata nini kama mnaamini mechi zote za simba huwa anabebwa? Muwe mnakaa nyumbani kuepuka kero za simba kubebwa.
 
Angefungwa goli la hivyo simba ungesikia tu wanasema tuliwaambia hamchomoki wala tusingesikia malalamiko juu ya penati hiyo kabisa ila kwa kuwa kafunga simba ndiyo maana maneno ni meengi tena ya kulaumu waliochezesha
 
Ukingalia vizuri refa hakua na uhakika ndio maana akaanza kuwasiliana alishindwa nini kwenda kutazama VAR na mbona nme mention matukio mengi tu hapo iweje la Simba liwe big deal?
Kutazama VAR ndiyo nini?

Hapo ni kwamba aliwasiliana na Video Assistant Referee (mwenye access na footages) na kujiridhisha hakukafanya kosa kwenye maamuzi yake.
 
Back
Top Bottom