Tatizo la waamuzi Africa limekosa tiba au ni udhaifu wa CAF

UTOPOLO KENGE SANA MNAWEWESEKA BADO NA KIPIGO KWA ORLANDO PIRATES,UMEZUNGUKA WE KUMBE UNATAFUTA MECHI YA ORLANDO,VP MBONA UMESAHAU PENATI YA MCHONGO YA YANGA YA KUSAWAZISHA DHIDI YA VIJANA WA GEITA
 
Chuki dhidi ya simba ni kubwa sana kwa Tanzania ni kubwa sana bora tutolewe tu watu wapate amani maana vita kila kona mpaka unahisi watu kama kuna deni vile wanaidai simba .
 
Nyie mbumbumbu jamaa kaongea mechi nyingi hapo ila mmekomaa na mechi yenu ya mchongo! Mnaenda kufia kwa madiba na mtakukuja manlilia waamuzi period!
 
Chuki dhidi ya simba ni kubwa sana kwa Tanzania ni kubwa sana bora tutolewe tu watu wapate amani maana vita kila kona mpaka unahisi watu kama kuna deni vile wanaidai simba .
Uchukiwe una nini wewe? una kombe gani ambalo Yanga hajawahi kuchukua?
 
Ngoja nicheke tu ,maana watu wanasumu moyoni.kama jamaa mmoja kasema nipige nikufie.
 
UTOPOLO KENGE SANA MNAWEWESEKA BADO NA KIPIGO KWA ORLANDO PIRATES,UMEZUNGUKA WE KUMBE UNATAFUTA MECHI YA ORLANDO,VP MBONA UMESAHAU PENATI YA MCHONGO YA YANGA YA KUSAWAZISHA DHIDI YA VIJANA WA GEITA
Umepugukiwa busara sijaona sababu ya kunitukana , since huna akili nmeamua kuku ignore baki na ujinga wako
 
Mmoja wapo ukiwa ni wewe mkuu....

Thread ya hovyo toka nimejiunga Jf ...
Unatafta nini kwenye thread ya hovyo !? nenda uka comment kwenye thread za maana
 
Ukingalia vizuri refa hakua na uhakika ndio maana akaanza kuwasiliana alishindwa nini kwenda kutazama VAR na mbona nme mention matukio mengi tu hapo iweje la Simba liwe big deal?
Hakuwa na hakika kwani aliyepiga filimbi ya foul alikuwa operator wa VAR?

Pale alipopiga gilimbi control room wakamuambia ulichokifanya ni sahihi huitaji kuja kuangalia we funika

Ndo mchongo ukaishia hapo
 
Nyie mbumbumbu jamaa kaongea mechi nyingi hapo ila mmekomaa na mechi yenu ya mchongo! Mnaenda kufia kwa madiba na mtakukuja manlilia waamuzi period!
Mbona hajaongelea Penati ya Mchongo ya Yanga dhidi ya Namungo ya mzunguko wa kwanza msimu huu iliyochezwa uwanja wa Mkapa ?
 
Chuki dhidi ya simba ni kubwa sana kwa Tanzania ni kubwa sana bora tutolewe tu watu wapate amani maana vita kila kona mpaka unahisi watu kama kuna deni vile wanaidai simba .
mm binafsi nakuunga mkono . na huu ndo mfano mzuri wa binadamu, hasa watz na roho zetu za chuki. Nafikir watapata amani Sana maana kila kona ni vithread uchwara Vs Simba tu.
 
Vipi Mechi ya Yanga na Namungo ?
Ile penati ilikufurahisha sana hadi hujaitolea mfano hapa ?

We kwanini hukupata penati na Rivers United hadi ukaliaibisha Taifa chumbani kwako. ?
 
wewe jamaa hua una ujinga huwezi jadili kitu bila lugha za matusi , nmetoa mifano mingi sana wewe umeona mechi ya Simba tu ?

Hiyo mifano Yako yote uliyotoa ni geresha tu na kujizungusha lakini point Yako ya Msingi uliyoikusudia ni Hiyo ya Simba v/s Orlando.

Mbona sikuzote hukuja na Uzi wakati hayo matokeo mengine yameshapita miezi kadhaa Bali umesubiri mechi ya Simba na Orlando ndiyo umekuja na Thread?

Yana mwaka huu kazi munayo kama Kila ikicheza Simba ndiyo munajaza Threads.
 
Sasa hivi si mnponda mtoa mada subirini tarehe 26 vilio vita tamalaki humu
 
Umezunguka weee ila mwisho wa siku tumekuona ulipo jificha kwenye pointi namba 5 .....

Ivi kwann ikicheza Simba inachafua hali ya hewa kwenye vijiwe vya Gahawa huko mliko?

View attachment 2192191
VAR ilikuja kwasababu hakuna muamuzi duniani anaweza kuona kwa ufasaha matukio yote na kutoa maamuzi sahihi wakati wote

Nenda youtube ka search blanda za waamuzi wa ligi kubwa kabisa duniani zipo kibao tu
Na hata VAR imekuja lakini tatizo la waamuzi bado lipo pale pale epl laliga league one na kote duniani

Wenzetu makosa yapo na wanayachukulia kibinaadamu lakini sisi huku ndio msingi mkuu wa kuhalalisha kushindwa kwetu

Al Ahaly eti baada ya kufungwa majuzi kwenye ligi yao wanalia na marefa wanataka hizi game za mwisho waamuzi watoke nje ya afrika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uchukiwe una nini wewe? una kombe gani ambalo Yanga hajawahi kuchukua?
Mara ya mwisho yanga kwenda makundi ilikuwa mwaka gani tuanzie hapo kwanza achana na makombe nyie mabingwa wa kihistoria tunajua.
 
mm binafsi nakuunga mkono . na huu ndo mfano mzuri wa binadamu, hasa watz na roho zetu za chuki. Nafikir watapata amani Sana maana kila kona ni vithread uchwara Vs Simba tu.
Kweli kabisa bongo ukifanikiwa lazima uchukiwe mechi ya simba na almasiry nakumbuka simba alifanyiwa vitu vya ajabu taifa na wachambuzi uchwara wote walikaa kimya ikaja mechi na plateau United simba ilifanyiwa umafia mpaka azam walikatalowa kuonyesha ile game simba wameamua kukaa kimya hata shutuma zote za manara dhidi ya babra na mo dewji Orlando ni wazuri kwenda mpira lolote zinaweza kutokea ila bora tutoke taifa liwe na amani.
 
Hujatuwekea mechi ya Yanga na Somalia.
 
Wewe ndiwe huna akili tunabaki kukushangaa

Clear foul unamtaka refa aende kwenye VAR kufanya nini?

Laiti ungekuwa na chembe japo kidogo ya akili ungejua kwa nini refa hakwenda. Ila kwa kuwa huna akili umekuja kuanzisha thread

Utopolo wahead

Kabla ya kuweka tuta refa aliwasiliana na watu wa VAR kwa kitambo kidogo na wakamridhisha kuwa lile ni tuta. Hao Utopolo hawawezi kukubali na hata Simba akishinda mechi ijayo kule Afrika Kusini bado watasema Simba ilihonga. Achana nao hao machizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…