Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Mbona hukugusia tukio la Sakho kusukumwa dhahiri kwenye boksi na refa hakufanya kitu? Au mwenzetu macho yako yana makengeza?Ukingalia vizuri refa hakua na uhakika ndio maana akaanza kuwasiliana alishindwa nini kwenda kutazama VAR na mbona nme mention matukio mengi tu hapo iweje la Simba liwe big deal?
Ni kawaida ya mahasidi wana vijicho vikali sana. Hawa watu wana roho mbaya sana na ndio maana hawafanikiwi.Chuki dhidi ya simba ni kubwa sana kwa Tanzania ni kubwa sana bora tutolewe tu watu wapate amani maana vita kila kona mpaka unahisi watu kama kuna deni vile wanaidai simba .
Sawa tumekuelewa ng'ombe wa Mayele.Sasa hivi si mnponda mtoa mada subirini tarehe 26 vilio vita tamalaki humu
Naunga mkono hoja yako 100%VAR ilikuja kwasababu hakuna muamuzi duniani anaweza kuona kwa ufasaha matukio yote na kutoa maamuzi sahihi wakati wote
Nenda youtube ka search blanda za waamuzi wa ligi kubwa kabisa duniani zipo kibao tu
Na hata VAR imekuja lakini tatizo la waamuzi bado lipo pale pale epl laliga league one na kote duniani
Wenzetu makosa yapo na wanayachukulia kibinaadamu lakini sisi huku ndio msingi mkuu wa kuhalalisha kushindwa kwetu
Al Ahaly eti baada ya kufungwa majuzi kwenye ligi yao wanalia na marefa wanataka hizi game za mwisho waamuzi watoke nje ya afrika 😂😂😂
Wewe kenge Yanga kaingia mara mbili makundi fatilia acha uzuzuMara ya mwisho yanga kwenda makundi ilikuwa mwaka gani tuanzie hapo kwanza achana na makombe nyie mabingwa wa kihistoria tunajua.
Nyie mapimbi mma onewa wivu kwa lipi? Mmetuzidi nini?Ni kawaida ya mahasidi wana vijicho vikali sana. Hawa watu wana roho mbaya sana na ndio maana hawafanikiwi.
Kiwango cha mpira Afrika na duniani kwa ujumla.Nyie mapimbi mma onewa wivu kwa lipi? Mmetuzidi nini?
Kama hamuoni wivu kinachowafanya kutwa kujadili mechi za Mnyama ni nini? Nyie ndio mapimbi namba wani kazi uchawi, husda na viherehere kwa yasiyowahusu. Sisi huwezi kutulinganisha na wapumbavu wasiojitambua na hatulingani na nyie. Kwenye mashindano ya CAF tumeshacheza hadi fainali mwaka 1993 pengine wewe pimbi ulikuwa hujazaliwa.Nyie mapimbi mma onewa wivu kwa lipi? Mmetuzidi nini?
Una kombe gani?Kiwango cha mpira Afrika na duniani kwa ujumla.
Baada kufika final ikawaje mbona story unakatishaKama hamuoni wivu kinachowafanya kutwa kujadili mechi za Mnyama ni nini? Nyie ndio mapimbi namba wani kazi uchawi, husda na viherehere kwa yasiyowahusu. Sisi huwezi kutulinganisha na wapumbavu wasiojitambua na hatulingani na nyie. Kwenye mashindano ya CAF tumeshacheza hadi fainali mwaka 1993 pengine wewe pimbi ulikuwa hujazaliwa.
Wewe ng'ombe wa Mayele umeshawahi kufika hata fainali? Loser wahedi.Baada kufika final ikawaje mbona story unakatisha
Achana na hao wajinga hawajui kuwa VAR hutumika tu pale kuna utata au malalamiko toka pande mmoja ndiposa referee huenda kujiridhisha. Sio kwa matukio ya wazi kama penalti ya MorrisonUmezunguka weee ila mwisho wa siku tumekuona ulipo jificha kwenye pointi namba 5 .....
Ivi kwann ikicheza Simba inachafua hali ya hewa kwenye vijiwe vya Gahawa huko mliko?
View attachment 2192191
Makombe manne miaka minne mfululizo ya Ligi Kuu Tanzania.Una kombe gani?
Eti loser wewe una nini? kwahio fainali ipo kwenye kabati la makombe wewe MbwigaWewe ng'ombe wa Mayele umeshawahi kufika hata fainali? Loser wahedi.
No marudio kwetu tusha chukua mara 5 in rowMakombe manne miaka minne mfululizo ya Ligi Kuu Tanzania.
huko nyuma hata Simba aliwahi kuchukua mara tano. pia nyie mnatambulika kama Mabingwa wa Zilipendwa.No marudio kwetu tusha chukua mara 5 in row
Hilo la Simba ndio lengo hasa la huu uzi hayo mengine yalikuwa ya kusindikiza na kuhalalisha uzi wako.Ukingalia vizuri refa hakua na uhakika ndio maana akaanza kuwasiliana alishindwa nini kwenda kutazama VAR na mbona nme mention matukio mengi tu hapo iweje la Simba liwe big deal?