Tatizo la waamuzi Africa limekosa tiba au ni udhaifu wa CAF

Chuki dhidi ya simba ni kubwa sana kwa Tanzania ni kubwa sana bora tutolewe tu watu wapate amani maana vita kila kona mpaka unahisi watu kama kuna deni vile wanaidai simba .
Uiona offside ya leo? toa povu lako sasa
 
Wewe una chuki binafsi na Inonga, kisa alimkamia Mayele, ulitaka aachwe afunge halafu uje utukane mabeki wa Simba.

Acha Utoto wewe Utopolo.
Ahahaha

Karibu nyumbani Pamba wanukusubiri
 
Acha kulia wewe; yule refa wa leo kutoka Seychells alimiliki mpira ule vizuri sana. Kuna wakati wachezaji wenyewe ndio wanataka kuharibu mchezo; kwa mfano pamoja na mchezo mzuri alioonyesha kwa kuzuia mikwaju mingi ikiwemo na penalt moja, kuna wakati Manula alivuruga mchezo kwa kujilaza sana chini kupoteza muda mara kwa mara, na ilipofika dakika za majeruhi akafanya hivyo tena kwa karibu dakika tatu hali iliyosbabisha apewe kadi.
 
Umezunguka weee ila mwisho wa siku tumekuona ulipo jificha kwenye pointi namba 5 .....

Ivi kwann ikicheza Simba inachafua hali ya hewa kwenye vijiwe vya Gahawa huko mliko?

View attachment 2192191
Hata kama, Leo mmepasuliwa tu nje ndani.. kwenye dakika 90 na kwenye Matuta.. kama unaweza kubisha basi bisha nikuone..
Tar 30 tu awapasua tena
 
akili yako imejaa upuuzi.

ulijifichia kwenye kimvuli cha mchicha br ......na ndo maana since day one nlikuumbua na Leo umedhihirisha rasmi.

ww n "mee" br
Hayo baki nayo mwenyewe ila najua una maumivu makali sana
 
.
 
Tusemeni ukweli tuu, Afcon ya mwaka huu ilikua hovyo, waarabu wameonewa sana,,,fitina kama fitina 😁 kwanzia kwa egypt, Algeria, Comoro n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…