Mwizukulu wa Buganda
Member
- Nov 19, 2024
- 94
- 307
Wakuu salama?
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekuwa nikikutana na mada baadhi ya wazazi na walezi wakiulizia tatizo na tiba ya watoto kutosimamisha uume, hivyo nimeamua kuja na maswali kwa wataalam ili waweze kutusaidia.
Baadhi ya mada soma
Baadhi ya maswali ambayo wazazi tungepata ufafanuzi
1. Umri gani watoto wa kiume wanapaswa kuanza kuonesha dalili za kusimamisha uume?
2. Mambo gani yanasababisha mtoto wa kiume kushindwa kusimamisha uume?
3. Kuna dalili nyingine ninazopaswa kuangaliwa ambazo zinaweza kuonesha tatizo kubwa zaidi?
4. Lishe ya mtoto inaweza kuwa na uhusiano na tatizo hili?
5. Hali hii inaweza kusababisha matatizo ya muda mrefu katika afya ya uzazi wa mtoto?
6. Tatizo hili linaweza kuwa la kurithi kwenye ukoo?
Matibabu
Ikiwa mtoto atakuwa na tatizo hili, hatua gani za kimatibabu zichukuliwe haraka ili kumsaidia tokea hatua ya awali?
Asanteni

- Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba haoneshi dalili ya kusimamisha uume
- Msaada wa dharura, mtoto wa kiume kutosimamisha uume