Tatizo la watu wengi: kuchanganya maneno 'lose' na 'loose'

Ubumuntu

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
14,345
Reaction score
10,885
Salaam wana JF!

Kuna hili tatizo ambalo nimeliona katika jamii yetu (humu JF) na kwenye mitandao mingine ya kijamii. Nalo ni la kuchanganya matumizi ya maneno 'lose' na 'loose'. Haya maneno ya kiingereza yamekuwa yakitumika sivyo. Haswa kwa watu wengine kutumia neno 'loose' pale neno 'lose' linapaswa kutumika!

Labda nitoe maana ya maneno hayo kama yanavyoelezwa kwenye kamusi ya kiingereza ya mtandaoni (WordWeb):

A. Loose: |loos|

1. Kama adjective:

a. not tight; not closely constrained, constricted or constricting.

b. Not compact or dense in structure or arrangement.

c. Not affixed

d. Not carefully arranged in a package.

2. Kama verb ( ina maana ya 'Make less tight or stiff').

3. Kama adverb (ina maana ya 'without restraint).

B. Lose, |looz| hili neno lipo kama verb tu.

a. Fail to keep or to maintain; cease to have, either physically or in an abstract sense.

b. Fail to win.

c. Suffer the loss of a person through death or removal.

d. Miss from one's possessions.

e. Allow to go out of sight.

f. Fail to make money in a business; make a loss or fail to profit.

g. Fail to get or obtain.

Kwa hayo machache naamini tunaweza kuwa makini katika kutumia haya maneno!

Wasalaam.
 
asilimia kubwa ya wana jf hata wale magwiji wa kutumia kiingereza wanachanganya haya maneno especially wakitaka kusema LOSER wanasema LOOSER ambayo kwenye English hamna neno LOOSER!!!
 
Kuchanganya matumizi ya maneno ya kiingereza imekuwa ni kawaida sana katika jamii zetu, maneno mengine ambayo matumizi yake huchanganywa ni "Butcher" na "Butchery", "Salon" na "Saloon"!
 
Kweli kabisa. Hata kwenye jukwaa letu la michezo hayo makosa yapo sana.
 
Kuchanganya matumizi ya maneno ya kiingereza imekuwa ni kawaida sana katika jamii zetu, maneno mengine ambayo matumizi yake huchanganywa ni "Butcher" na "Butchery", "Salon" na "Saloon"!

Hapo kwenye salon na saloon kuna shida sana...ila pia tatizo lipo katika kutumia viingerza vya Uingereza na Marekani!

Hapo kwenye butcher na butchery ebu fafanua kidogo namna watu wanavyochanganya hayo maneno. Nafahamu butcher ni mtu mwenye biashara ya butchery.
 
CENTER & CENTRE

"Center" would be a synonym for "middle". (He stood in the center of the circle.)

"Centre" would be the word used to describe a gathering place. (The crowd gathered at the new Arts and Innovation Centre.)
 
umesahau CENTRAL....nasikia sana watu wanaita CENTRAL POLICE ni 'kituo cha polisi cha kati' mimi nafikiri sahihi ni KITUO KIKUU CHA POLISI kwa sababu kati/middle ni center na si central.
 
Meter & Metre
Wadau nielezeeni na tofauti ya haya maneno kama yapo..
 
CENTER & CENTRE

"Center" would be a synonym for "middle". (He stood in the center of the circle.)

"Centre" would be the word used to describe a gathering place. (The crowd gathered at the new Arts and Innovation Centre.)

Chifu, nafikiri hayo maneno yote ni sawa; ila neno center utumika USA kumaanisha centre (ambalo utumika sana katika nchi zingine zote zenye mfumo wa kiingereza kama wa Uingereza yenyewe).
 
Meter & Metre
Wadau nielezeeni na tofauti ya haya maneno kama yapo..

Haya maneno nayo ninavyofahamu ni sawa. Ila meter utumika USA na metre utumika kwingineko kwenye kiingereza cha Uingereza.
 
Stationery na stationary mi pia yananichanganya. naomba ufafanuzi
 
stationery ni duka la/au vifaa vya ofisini na shulein
stationary nikusimama sehemu moja bila kujimuvizisha
 
CENTER & CENTRE

"Center" would be a synonym for "middle". (He stood in the center of the circle.)

"Centre" would be the word used to describe a gathering place. (The crowd gathered at the new Arts and Innovation Centre.)

Hapo sikubaliani na wewe.

Center ni American spelling

Centre ni British spelling

Lakini maana ni ile ile.

Ni kama tu neno skeptic (American spelling) na sceptic (British spelling).

Ingia hapa na hapa
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Haya maneno nayo ninavyofahamu ni sawa. Ila meter utumika USA na metre utumika kwingineko kwenye kiingereza cha Uingereza.

Hata 'center' na 'centre'.

Center ni American na centre ni British.

Maana ni ile ile.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hapo kwenye salon na saloon kuna shida sana...ila pia tatizo lipo katika kutumia viingerza vya Uingereza na Marekani!

Hapo kwenye butcher na butchery ebu fafanua kidogo namna watu wanavyochanganya hayo maneno. Nafahamu butcher ni mtu mwenye biashara ya butchery.

Ndugu Nzi umesema vyema kuhusu butcher na butchery hivyo ndivyo ilivyo yaani..butcher ni yule mtu anayeuza au nyama, na butchery ni duka la kuuzia nyama, sasa sisi wabongo huwa tunatumia butcher (bucha) tukimaanisha duka la kuuzia nyama, mara nyingine butcher hutumika kuumanisha muuaji au mchinjaji!
 
Unachokisema ni sahihi ila tukumbuke Artist(mchoraji) amepewa imeandikwa hivyo na "the customer is always right" tena unakuta mchoraji shule ndiyo hivyo tia tia maji.Kwa hiyo tutegemee haya kwa wingi,mimi huwa nikipaita nakuta mistake kama hizo kama nafahamiana nao huwa nawaambia.Tuwasaidie,nyie mnaongelea huko hata kwenye mawasiliano ya ofisini "dairy" na "daily","altogether" na "all together" kuna gari moja lilikuwa limeandikwa "God is greet"
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom