Tatizo la Yanga kutokujaza uwanja ni nini?

Tatizo la Yanga kutokujaza uwanja ni nini?

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Timu limefanya vizuri misimu yote mitatu mfululizo lakini wanasubiri tickets za bure.

Haya ni mazoea mabaya,siku walipotangaza supu ya bure jangwani walijaa sana,nashauri Siku ya mwananchi watangaze kutakuwa na supu ya bure uwanjani.
 
Wananchi halisi na kma wananchi kila siku wanalalamikia bidhaa bei juu unadhani wataweza kulipa 5k kuangalia mpira wkt akiltoa jero kwa ujugu anaona mechi ?
 
Hao Simba wanaojaza uwanja hawakumbani na ugumu wa maisha?
Simba kiasili sio watu wa shida za kusikilizia ndio maana pamoja kwamba wako nafasi ya 3 hawajaiona timu yao popote pale zaidi ya kusoma mitandaoni lkn wamejaza...
Yanga wananchi ki asili ,5k washapiga hesabu ya mboga
 
Kwenye suala la simba kujaza uwanja, simba iko level nyingine, mashabiki wa simba wanaimani na timu yao na wamejijengea utaratibu huo wa kuoenda kwenda uwanjani.. Yanga sijui shida ni nini
 
Kwenye suala la simba kujaza uwanja, simba iko level nyingine, mashabiki wa simba wanaimani na timu yao na wamejijengea utaratibu huo wa kuoenda kwenda uwanjani.. Yanga sijui shida ni nini
Shida itakuwa batiki.
 
Back
Top Bottom