Hakuna mashindano ya kujaza uwanja bali mashindano ya makombe.Timu limefanya vizuri misimu yote mitatu mfululizo lakini wanasubiri tickets za bure.
Haya ni mazoea mabaya,siku walipotangaza supu ya bure jangwani walijaa sana,nashauri Siku ya mwananchi watangaze kutakuwa na supu ya bure uwanjani.
Simba kiasili sio watu wa shida za kusikilizia ndio maana pamoja kwamba wako nafasi ya 3 hawajaiona timu yao popote pale zaidi ya kusoma mitandaoni lkn wamejaza...Hao Simba wanaojaza uwanja hawakumbani na ugumu wa maisha?
Shida itakuwa batiki.Kwenye suala la simba kujaza uwanja, simba iko level nyingine, mashabiki wa simba wanaimani na timu yao na wamejijengea utaratibu huo wa kuoenda kwenda uwanjani.. Yanga sijui shida ni nini