S Shotocan JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 6,650 Reaction score 12,711 Apr 6, 2024 #1 Tatizo la yanga wachezaji na kipa wako vizuri uwanjani ila Yanga haina wapiga penalti wazuri ni wabovu sana Kocha yuko vizuri kanoa timu vizuri ila ana kazi ya ziada kufunza wapiga penalti.
Tatizo la yanga wachezaji na kipa wako vizuri uwanjani ila Yanga haina wapiga penalti wazuri ni wabovu sana Kocha yuko vizuri kanoa timu vizuri ila ana kazi ya ziada kufunza wapiga penalti.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Apr 6, 2024 #2 yanga hatujatolewa ila tumefuluzwa