Tatizo langu wakati wa sex

Kwanza pole sana ndugu, maelezo yako hayajawa wazi vizuri iliuweze kusaidiwa, kuna maswali itabidi uyajibu ili iwe rahisi kwa wataalam kukusaidia
1.) Tatizo hilo umeligundua lini? umeshwahi kujamiiana hapo kabla?
2.) Umewahi kutumia njia yoyote ya kuongeza nguvu zako?
3.) umeoa?
4.) umejaribu Punyeto(kujichua)?
Yakipatikana majibu ndio mwangaza wa namna ya msaada unapatikana.
 
Natafuta dawa jamani,nikifanya romance inasimama vzr nilitaka kuingiza ina nywea.niinbox kama una dhamira ya kunisaidia.
Nimeenda maana hosp.nimeambiwa tiba laki nne pamoja na vipimo,nifanyeje

Tumia dawa za kienyenyi kama hospt gharama, pia hlo tatzo ni lakisaikolojia, punguza mawazo ukiwa maeneo hayo,

Pia yawezekana huyo unaetaka kumuingizia anatatzo hivyo yawezekana unaepusha mengi, kama ni tatzo sugu yabidi utoe mawazo ukiwa uwanjani!
 
swali la 5, amewahi kusikia raha ya wazungu wakitolewa kwenye mbonyeo wa feni tight! aisee laki 4 ni ndogo jbu maswali jtbu fasta mkuu
 
Natafuta dawa jamani,nikifanya romance inasimama vzr nilitaka kuingiza ina nywea.niinbox kama una dhamira ya kunisaidia.
Nimeenda maana hosp.nimeambiwa tiba laki nne pamoja na vipimo,nifanyeje
Nakushauri pima Blood Pressure... Pima Blood Glucose level.... Kama vyote viko normal ntakushauri uwe mtu wa mazoezi... Anza mazoezi ya viungo taratibu..Kama jogging... Kuruka kamba... Push ups.... Kunywa maji ya kutosha at least glass 7 mpaka 10.Chakula kiwe ni balance diet ...pata muda wa kupumzika pia not less than 8 hours per day. Erection is the Function of the high center... Kama kimawazo hauko vema zoezi hill ni changamoto...you can use also medicines which stimulate penile nerve endings but it is the last option not encourage to use if you are still young...they do have effect to the blood pressure. Pia usiwe na hofu kwamba leo pia nitashindwa... Hofu huleta mawazo.... Mawazo then you score poor performance
 
Natafuta dawa jamani,nikifanya romance inasimama vzr nilitaka kuingiza ina nywea.niinbox kama una dhamira ya kunisaidia.
Nimeenda maana hosp.nimeambiwa tiba laki nne pamoja na vipimo,nifanyeje
Acha woga
 
Natafuta dawa jamani,nikifanya romance inasimama vzr nilitaka kuingiza ina nywea.niinbox kama una dhamira ya kunisaidia.
Nimeenda maana hosp.nimeambiwa tiba laki nne pamoja na vipimo,nifanyeje
Lipa hiyo laki nne
 
Kuna mzigo unaitwa BUNDUKi hilo ndio suluhisho lk jombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…