Tatizo langu wakati wa sex

Natafuta dawa jamani,nikifanya romance inasimama vzr nilitaka kuingiza ina nywea.niinbox kama una dhamira ya kunisaidia.
Nimeenda maana hosp.nimeambiwa tiba laki nne pamoja na vipimo,nifanyeje
Acha punyeto tafadhali!
 
swali la 5, amewahi kusikia raha ya wazungu wakitolewa kwenye mbonyeo wa feni tight! aisee laki 4 ni ndogo jbu maswali jtbu fasta mkuu
yaan hiyo laki nne mie ndo hela ninayomuhongaga demu wangu af yy anashindwa jitibu hajui raha ya kupasua dafu huyo
 
Hospital watakula hiyo hela
Huna tatizo cha kufanya ondoa woga wqkati wa tendo
 
Wanaume wa dar katika ubora wenu.
Anyway, anza mazoezi, fanya mazoezi, piga zoezi. Kimbia, pushups, kamba, nondo.
Kunywa maji ya kutosha, acha ulevi wote, acha kuangalia porn, kula vyakula vya nguvu, achana na chips, acha kuogopa mademu wakali, usile mademu/wake za watu hofu itakushusha morali yapo mengi njoo inbox uaguliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…