Tatizo lipi ukilitatua utapata pesa?

Tatizo lipi ukilitatua utapata pesa?

Masangutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
751
Reaction score
559
Habari zenu wanaJF hope niwazima,naamini umeshakutana na hii concept kwamba ili upate fedha, utajiri, mafanikio lazima ugundue tatizo katika jamii na ulipatie suluhisho. Maana yake nikuwa ukiweza kutafutia ufumbuzi wa tatizo linalowakabili watu basi utakuwa umepata fursa nzuri ya kutengeneza pesa.

Nakuuliza wewe unadhani ni tatizo gani kwa sasa likipatiwa ufumbuzi wake itakuwa ni fursa ya kupiga hela?

Karibu
 
Angalia kuna tatizo gani sehemu unapoishi ambalo linawapa watu changamoto kisha tumia maarifa na akili zako zote kulitatua hapo pesa hukosi
 
Kwamfano kunahili tatizo sugu la kiungo muhimu kiitwacho"NYANYA" tumezoea nyanya huwa kuna kipindi zinakuwa nyingi na wakati mwingine huadimika sana,binafsi nimeona fursa kubwa sana katika usindikaji wa nyanya yaani Tomato paste kwaajili ya kuungia mboga nakadhalika.Mfano miezi iliyopita tumesikia huko Morogoro wakulima wakitupa nyanya na kulisha mifugo kwasababu ya kukosa soko mytake nyanya nyingi za kopo hazipatikani sana maeneo ya uswahilini hata zinapopatikana huwa ni gram ndogo sana na bei nikubwa na nyingi huwa imported sio za Tanzania.Binafsi nimeshahangaika sana kutafuta nyanya hasa nyakati za usiku.Naona kuna fursa kubwa sana kwenye usindikaji wa nyanya fursa ambayo bado haijapatiwa ufumbuzi wakueleweka.
 
kuna tatizo kubwa sana kwenye hivi shule za kata na private..... nikipata mtaji wa 10m inatosha kunitoa kwenye umasikini.
 
Kama mtu yupo tayari kuniwezesha hicho kiasi cha pesa mimi nipo tayari kufanya nae kazi na tutaingia mkataba kabisa.
Ni Pm
 
Hata kama vocha au huduma za sim banking zinasumbua au kuzipata mpaka uende umbali mrefu, au aliekuepo huwa anafunga mapema basi unaweza kuchukua fursa
 
Kwamfano kunahili tatizo sugu la kiungo muhimu kiitwacho"NYANYA" tumezoea nyanya huwa kuna kipindi zinakuwa nyingi na wakati mwingine huadimika sana,binafsi nimeona fursa kubwa sana katika usindikaji wa nyanya yaani Tomato paste kwaajili ya kuungia mboga nakadhalika.Mfano miezi iliyopita tumesikia huko Morogoro wakulima wakitupa nyanya na kulisha mifugo kwasababu ya kukosa soko mytake nyanya nyingi za kopo hazipatikani sana maeneo ya uswahilini hata zinapopatikana huwa ni gram ndogo sana na bei nikubwa na nyingi huwa imported sio za Tanzania.Binafsi nimeshahangaika sana kutafuta nyanya hasa nyakati za usiku.Naona kuna fursa kubwa sana kwenye usindikaji wa nyanya fursa ambayo bado haijapatiwa ufumbuzi wakueleweka.
Je green house farming kwa nyanya?
Inaweza kuwa kijijini/mtaani kwenu kuna shida ya maji. Chimba kisima kirefu uza maji...
 
Habari zenu wanaJF hope niwazima,naamini umeshakutana na hii concept kwamba ili upate fedha, utajiri, mafanikio lazima ugundue tatizo katika jamii na ulipatie suluhisho. Maana yake nikuwa ukiweza kutafutia ufumbuzi wa tatizo linalowakabili watu basi utakuwa umepata fursa nzuri ya kutengeneza pesa.

Nakuuliza wewe unadhani ni tatizo gani kwa sasa likipatiwa ufumbuzi wake itakuwa ni fursa ya kupiga hela?

Karibu
magojwa kama
U.T.I., presha, mabusha, kansa, sukari, figo
umeme wa brututh
 
Back
Top Bottom