Tatizo lipo Bandarini hata mfiche ukweli!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Imagine tangu jana tarehe 08/09 hatuna meli hata moja. Kama leo wala hata sijisumbui kwenda. Taarifa zinasema kuna moja itaingia usiku tarehe 09/09/ ... haijwahi kutokea hii tangu niingie bandarini miaka 26 iliyopita!!
Nakumbuka usemi wa Mh JK "Acha lipasuke tugawane mbao"
 
habari ndiyo hiyo!
 
kutoka tani milion 40 hadi tani milioni moja kwa wiki then mapato yamepanda
 
Na viwanda vinakuja....
Naota kuna hatari ya mtu kuachwa pekee kwenye hii show! Kumbuka wateule wake hawakuuzoea huu ugumu...
 
kutoka tani milion 40 hadi tani milioni moja kwa wiki then mapato yamepanda
mapato yanapanda from previous unpaid or pending transactions... ts da same kama wanavyofanya NHC saiv, yale mabilions ni madeni ya nyuma n not new n fresh collections
 
Back
Top Bottom