habari ndiyo hiyo!Imagine tangu jana tarehe 08/09 hatuna meli hata moja. Kama leo wala hata sijisumbui kwenda. Taarifa zinasema kuna moja itaingia usiku tarehe 09/09/ ... haijwahi kutokea hii tangu niingie bandarini miaka 26 iliyopita!!
Nakumbuka usemi wa Mh JK "Acha lipasuke tugawane mbao"
kutoka tani milion 40 hadi tani milioni moja kwa wiki then mapato yamepandaImagine tangu jana tarehe 08/09 hatuna meli hata moja. Kama leo wala hata sijisumbui kwenda. Taarifa zinasema kuna moja itaingia usiku tarehe 09/09/ ... haijwahi kutokea hii tangu niingie bandarini miaka 26 iliyopita!!
Nakumbuka usemi wa Mh JK "Acha lipasuke tugawane mbao"
kutoka tani milion 40 hadi tani milioni moja kwa wiki then mapato yamepanda
mapato yanapanda from previous unpaid or pending transactions... ts da same kama wanavyofanya NHC saiv, yale mabilions ni madeni ya nyuma n not new n fresh collectionskutoka tani milion 40 hadi tani milioni moja kwa wiki then mapato yamepanda