Tatizo lolote la PC/device

Sorry mkuu em nikumbushe Tena aiseee

Pirate
Msaada tutani..<br />Nina Laptop yangu Dell N series. <br />Ukiiwasha na ku click au hata kuselect icon yoyote kwenye desktop au hata kwenye folder tu inaleta ile msg km nataka ni idelete.(are you sure you want to send this folder to recycle bin?.na italeta huo ujumbe zaidi ya mara 100 as if nimehold ile button ya delete. nimejaribu hata kuchomoa ile button ya delete ila bado tatizo linaendelea.. msaada hapo wakuu..

Hiyo ndo ilikua tatizo langu..
 
OK simply solution inawzekana ikawa ni CPU Inafanya over-heat (inapata joto) kupitiliza, so cha kufanya mpelekee huyo fundi labda aweke CPU cooler paste inaweza ikasaidia,

Or

Inawzekana pia motherboard sio compatible ni CPU aloiweka

Pirate
Nashukuru sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dell latitude E5400 imeacha kuchaji ghsfla tu haiingizi umeme hata kidogo lakini inawaka vizuri tu. Nimejarubu kubadili adapta lakin haisaidii

Tatizo lilianza kwanza kwa cursor kukwama kwama nikiweka chaji , baadae nikabadili window kutoka window 8 kwenda 7, nikatumia dakika kafhaa then ikaanza tatizo

Mwenye idea plz!!
 
OK njia rahisi ni RIGHT CLICK, kwenye battery icon then Kuna options mbili we chagua adjust brightness then hapo unaweza kuongeza na kupunguza mwanga, hope itakusaidia!





NB:for windows based laptops only!

Pirate
Je, kupunguza mwanga?pc yangu ni Toshiba window 7.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maybe naweza kukushauri hiv

# 1

Toa betry alafu weka charg itumie bila betry uone kama inawaka, kama ikifanya hivyo bas inawezekana betry inashida

# 2

Jarbu kumpelekea fundi achek motherboard au hata ww ukiweza uangalie kama Kuna short labda

Pirate
 
Yan uwa inakutokea wakat wa kuselect tu folder au??

Kama ni ndio bas jarbu kufanya restore za settings za windows

Pirate
 
nimetoa battery nakuunganisha adapter lakin bado
nimeifungua pc ndan ila sijui namna ya kuangala shot kwenye motherboard
 
Mkuu Pirate natumia HP probook 4530s Imegoma kuwasha display! Yani Pc inawaka hadi feni naisikia inaunguruma but Display haitoi hata mwanga, Tatizo limetokea ghafla tuu PC sijaiangusha au kuifanyia kitu chochote tatizo tu limetokea ghafla....
Natanguliza shukrani
Cc: Pirate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheki ram mkuu kwanza kama unaweza fungua then jarbu kuzitoa Kisha urudishe uone kama kutakuwa na mabadiliko

Pirate
 
Ichomeke hard disk, then nenda kwenye start type disk management; select"create and format hard disk parititions' hapo utaiona hard disk yako na unallocated space;ukiiright click hiyo unallocated space utapata option ya kutengeneza new partition
Ahsante kiongozi nimefanikiwa kuirudisha katika hali yake. Ubarikiwe sana
 
Mkuu pirate mambo vipi?
Naomba kujua kitu mashine yangu ni hp core 2 duo na ina ram ya gb 8 na hard disk za gb 3000 in total sasa nataka kuongeza hard disk ya 3 Tb lakini haisomi japo nimeambiwa nzima. Je mashine kwa kawaida huwa ina limits katika hard disk???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kuifunga iwe operating au unataka iwe externally tu?

Pirate
 
Thanks brother! So hapa ni kuformat tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…